Martha Sandolo Belleh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Major Martha Sandolo Belleh ni mwanamke aliyekuwa waziri katika serikali ya Liberia. Belleh alihudumu kama Waziri wa Afya na Usalama wa Jamii kutoka mwaka 1981 hadi 1987 chini ya kiongozi wa mapinduzi Samuel Kanyon Doe. Alimaliza masomo yake kutoka Chuo Kikuu cha Cuttington mnamo mwaka 1968 katika idara ya uuguzi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]