Mariama Sarr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mariama Sarr (amezaliwa 4 Machi 1963) ni mwanamke mwanasiasa wa Senegal.[1]

Kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Utumishi wa Umma na Ukarabati wa Huduma za Umma katika serikali ya Sall ya Nne.[2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Sarr alihudumu kama Waziri wa Wanawake, Watoto, na Ujasiriamali wa Wanawake kutoka mwaka 2012 hadi 2013. [3] pia ni meya wa Kaolack.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Feeds, IANS. "Senegal to boost its child protection policy | India.com". www.india.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  2. "Mariama SARR - SENEGEL - Senegalese Next Generation of Leaders". www.senegel.org (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2022-08-10. 
  3. "Décret n° 2012-1163 du 29 octobre 2012 relatif à la composition du Gouvernement - Gouvernement du Sénégal". www.gouv.sn. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-10. Iliwekwa mnamo 2022-08-10.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  4. Maana, Par (2019-04-08). "PORTRAIT : Mariama Sarr – Ministre de la Fonction publique" (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariama Sarr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.