Nenda kwa yaliyomo

Marangu Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marangu Magharibi ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 16,775 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,976 [2] walioishi humo.

Msimbo wa posta ni 25222.

Marangu Magharibi ina vijiji 7 na watu wake walio wengi ni wafanyabiashara na wengine wameajiriwa kwenye sekta za binafsi na serikali.

Hata hivyo, ni moja kati ya sehemu maarufu sana, na eneo lake lina rutuba nyingi kwa kilimo kidogo cha ardhi ya hapo iliyopo. Ardhi ya eneo hili limerithishwa kwa mtiririko wa kifamilia (mfumo wa "Kihamba"). Umaskini katika eneo hili bado umeonekana kuwa tatizo kubwa lakini linashughulikiwa ukifananisha na sehemu nyingine za mabonde ya Mlima Kilimanjaro.

Kuna mito kadhaa inayomwagikia hapa na vilevile vyanzo vya maji ya chemchem.

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-28.
Kata za Wilaya ya Moshi Vijijini - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania

Arusha Chini | Kahe Magharibi | Kahe Mashariki | Kibosho Kati | Kibosho Kirima | Kibosho Magharibi | Kibosho Mashariki | Kibosho Okaoni | Kilema Kaskazini | Kilema Kati | Kilema Kusini | Kimochi | Kindi | Kirua Vunjo Kusini | Kirua Vunjo Magharibi | Kirua Vunjo Mashariki | Mabogini | Makuyuni | Mamba Kaskazini | Mamba Kusini | Marangu Magharibi | Marangu Mashariki | Mbokomu | Mwika Kaskazini | Mwika Kusini | Njia Panda | Old Moshi Magharibi | Old Moshi Mashariki | Uru Kaskazini | Uru Kusini | Uru Mashariki | Uru Shimbwe


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marangu Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.