Majadiliano ya jamii:Bahari

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bahari ya Shamu kijiografia si bahari, ni ghuba ya Bahari Hindi. Kawaida ya Kiswahili inaweza kutumia neno "bahari" hata kwa maziwa mbalimbali yaani eneo kubwa la maji. Tunahitaji makala "bahari". --Kipala 01:47, 12 Februari 2006 (UTC)[jibu]