Majadiliano:Utalii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marekebisho[hariri chanzo]

Salamu Mwambashi901, kama unashiriki katika shindano la Africa Wiki Challenge, basi hakikisha unafuata taratibu stahiki, katika makala hii "Tourism in the Democratic Republic of the Congo" ilistahili iwe "Utalii katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo" . Ndugu, tafadhali legeza mwendo, hakikisha Unaunda makala bora. Kazi iendelee Super8 Devs (majadiliano) 12:32, 11 Juni 2022 (UTC)[jibu]

sawa ila nilikua naomba msaada katika kubadilisha kichwa cha habari Mwambashi901 (majadiliano) 12:49, 11 Juni 2022 (UTC)[jibu]