Majadiliano:Siku ya Wanawake Duniani
WANAWAKE TUNAWEZA KUITENDEA HAKI KAULI MBINU YA MWAKA?[hariri chanzo]
Kuelekea siku ya wanawake duniani...kama kichwa cha habari tujipime sisi wenyewe kwa kujiuliza na kupatajibu kama kweli tunaweza kwa
. kumaliza mahitaji yetu madogo madogo bila kumshirikisha mtu mfano.
. kutoa misaada midogo midogo kwa kutumia kipato kwa wahitaji km yatima/Wajane
. Kutatua shida ndogo ndogo ndani ya familia
jiulize/ jipime kupitia hayo maswali matatu.. kama kunaugumu ndani yake unahitaji nguvu ya ziada katika kujikwamua kiuchumi LENTUNDA (majadiliano) 13:23, 6 Machi 2023 (UTC)