Majadiliano:Historia ya Ugiriki

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

ugiriki[hariri chanzo]

habari samahani ndugu zangu, binafsi navutiwa sana na historia ya  nchi hii ya ugiriki lakin mpaka sasa sijapata stori nzuri itakayo nipa muongozo wa kutambua hili. karibuni mwenye story yoyote kuhusu uongozi, falsafa zao, tabia, asili yao, tamaduni zao kwa ujumla. Bartazari luvanga (majadiliano) 06:46, 11 Oktoba 2023 (UTC)[jibu]