Majadiliano:Alfabeti ya Kilatini

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Majina ya herufi[hariri chanzo]

Katika lugha mbalimbali, majina ya herufi ni tofauti, k.m. kwa Kiingereza Ei/Bii/Sii/Dii/Ii/Ef/Jii/Eich/Jei/Kei/El/Em/En/Ou/Pii/Kyuu/Aa/Es/Tii/Yuu/Vii/Dablyu/Eks/Wai/Zed au kwa Kijerumani Aa/Bee/Tsee/Dee/Ee/Ef/Gee/Haa/Ii/Yot/Kaa/El/Em/En/Oo/Pee/Kuu/Er/Es/Tee/Uu/Fau/Vee/Iks/Ipsilon/Tset. Yawezekana kuongezea majina ya herufi kwa Kiswahili kwa ajili ya wasomaji wasio waongeaji wa Kiswahili Fasaha? --Lantani (majadiliano) 16:36, 6 Februari 2015 (UTC)[jibu]