Mafunzo F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mafunzo Football Club ni klabu ya soka ya Kitanzania/Zanzibar.

Timu hiyo inashiriki katika Ligi Kuu ya Zanzibar.

Walishindana katika Ligi ya Mabingwa wa CAF kwa mara ya kwanza mwaka 2010.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Zimbabwean | A Voice For The Voiceless". web.archive.org. 2011-10-01. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-01. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.