Maendeleo ya vijana katika jamii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maendeleo ya vijana katika jamii ( Community youth development (CYD) ) ni falsafa inayosisitiza hali ya ushirikiano wa maendeleo ya vijana kwa maendeleo ya jamii kwa kuweka desturi hizi mbili katika mfumo mmoja. CYD inawaleta vijana pamoja wanapotaka kuleta mabadiliko katika mazingira yanayowazunguka kwa kuendeleza ushirikiano kati ya mashirika yanayohusiana na vijana na mashirika ya maendeleo ya jamii ili kuunda fursa mpya kwa vijana kutumikia jamii zao huku wakikuza uwezo wao binafsi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]