Madrasa ya Ben Youssef

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ben Youssef Madrasa inayofahamika pia kwa majina ya Bin Yusuf au Ibn Yusuf Madrasa [1]) ni madrasa ya kiislamu iliyopo huko Marrakesh,nchini Morocco. Hivi sasa inatumika kama eneo la kihistoria na madrasa hii ndiyo madrasa kubwa zaidi kwa ukubwa nchini Morocco. [2] Madrasa hii iliitwa kwa jina la Ben Youssef lililotokana na msikiti wa Ben Youssef uliotengenezwa na Sultan Ali ibn Yusuf aliyekua kiongozi kuanzia mwaka 1106 - 1142. [2]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Discover Islamic Art - Virtual Museum - monument_ISL_ma_Mon01_15_en". islamicart.museumwnf.org. Iliwekwa mnamo 2018-12-12. 
  2. 2.0 2.1 Yeomans, Richard (2000). The Story of Islamic Architecture. New York: New York University Press. ku. 11–113. 
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.