Matokeo ya utafutaji

Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Mto Laga Bor ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya. Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika...
    540 bytes (maneno 40) - 14:19, 29 Septemba 2018
  • Thumbnail for Mto Gucha
    Mto Gucha (pia: Kuja) unapatikana katika kaunti ya Migori, magharibi mwa Kenya, na unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye...
    593 bytes (maneno 38) - 12:44, 26 Julai 2020
  • Mto Ruiru (Kiambu) ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Kiambu, katikati ya Kenya. Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki...
    516 bytes (maneno 43) - 12:38, 3 Oktoba 2018
  • Mto Kerio ni jina la miwili kati ya mito ya Kenya (kaunti ya Turkana): Kerio (mto) Kerio (korongo)...
    139 bytes (maneno 18) - 08:25, 12 Julai 2018
  • Thumbnail for Ukristo
    Ukristo (kutoka neno la Kigiriki Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la Kiebrania מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" ) ni dini inayomwamini...
    63 KB (maneno 8,059) - 10:16, 22 Januari 2024
  • Thumbnail for Bahari ya Hindi
    Bahari ya Hindi ni bahari ya tatu kwa ukubwa duniani ikiwa imechukua asilimia 20 ya uso wa dunia na kuzungukwa na mabara manne. Upande wa kaskazini imepakana...
    12 KB (maneno 1,153) - 14:10, 16 Julai 2022
  • Mto Kafu ni jina la: Mto Kafu (Uganda magharibi) Mto Kafu (Kalungu), Mkoa wa Kati (Uganda)...
    126 bytes (maneno 16) - 06:51, 31 Julai 2019
  • Thumbnail for Mto Pager
    Mto Pager unapatikana kaskazini mwa Uganda (wilaya ya Kotido, wilaya ya Kitgum na wilaya ya Gulu) na kuingia katika mto Achwa ambao unaishia katika Nile...
    850 bytes (maneno 60) - 08:13, 17 Agosti 2019
  • Thumbnail for Mto Semliki
    Mto Semliki (au: Semuliki) unapatikana nchini Uganda (wilaya ya Bundibugyo) ukitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Unaanza katika ziwa Edward na kuishia...
    794 bytes (maneno 44) - 12:11, 16 Julai 2019
  • Thumbnail for Burundi
    Burundi, kirasmi Jamhuri ya Burundi (iliyojulikana zamani kama Urundi), ni nchi ndogo ambayo iko katika eneo la Maziwa Makubwa ya Afrika. Burundi imepakana...
    21 KB (maneno 2,400) - 21:02, 23 Machi 2024
  • Thumbnail for Ruvuma (mto)
    Ruvuma (pia: Rovuma) ni mto mrefu wa Tanzania na Msumbiji. Mpaka kati ya Tanzania na Msumbiji unafuata mwendo wake kwa km 730. Chanzo chake kiko mashariki...
    3 KB (maneno 263) - 14:38, 8 Novemba 2023
  • Mto Rungwa ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania. Unaanzia katika mkoa wa Singida, unatiririka upande wa kusini magharibi na kuishia katika ziwa Rukwa...
    1 KB (maneno 114) - 10:30, 30 Mei 2018
  • Thumbnail for Mto Ruhudji
    Mto Ruhudji ni mto wa Tanzania unaochangia mto Mnyera, tawimto la mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia...
    893 bytes (maneno 81) - 13:41, 9 Agosti 2020
  • Mto Musa ni jina la mito mbalimbali, ikiwemo miwili ya Tanzania: Mto Musa (Ruvu) Mto Musa (Singida)...
    122 bytes (maneno 17) - 13:09, 8 Desemba 2018
  • Mto Momba ni jina la miwili kati ya mito ya mkoa wa Songwe (Tanzania Kusini Magharibi). Unatiririka upande wa kusini magharibi na kuishia katika ziwa Rukwa...
    1 KB (maneno 102) - 14:54, 7 Desemba 2018
  • Mto Matandu ni kati ya mito ya mkoa wa Lindi (Tanzania Kusini Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi. Mito ya Tanzania Orodha ya mito...
    432 bytes (maneno 32) - 13:57, 2 Mei 2018
  • Orodha ya mito nchini Tanzania inaitaja zaidi ya 2,000, lakini hiyo ni baadhi tu. Imepangwa kwa taratibu mbalimbali kama ifuatavyo: kadiri inavyoelekeza...
    40 KB (maneno 4,665) - 10:46, 5 Desemba 2022
  • Mto Weru Weru ni kati ya mito ya mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Kaskazini Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi, kwa kuwa ni tawimto...
    698 bytes (maneno 66) - 12:06, 2 Juni 2018
  • Mto Migasi ni mto wa Tanzania ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mashariki mwa nchi). Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya mkoa wa Tanga Orodha...
    466 bytes (maneno 36) - 13:33, 1 Juni 2018
  • Mto Ruipa ni mto wa Tanzania, tawimto la mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi....
    443 bytes (maneno 36) - 15:44, 1 Mei 2018
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)