MV Bukoba
Mandhari
MV Bukoba ilikuwa feri iliyokuwa ikitoa huduma ya kubeba mizigo na abiria katika Ziwa Viktoria kati ya bandari za Bukoba na Mwanza[1].
Tarehe 21 Mei 1996 ilizama kwenye njia ya kuelekea Mwanza.[2] Abiria wengi walikufa na idadi yao imekadiriwa kuwa 1,000 hivi, lakini idadi iliyotangazwa rasmi ilikuwa 894[3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.jamiiforums.com/threads/tujikumbushe-mv-bukoba-enzi-za-uhai-wake.1364063
- ↑ Lake Victoria tragedy ,Tanzania in May 21, kwenye tovuti ya asahi.net, iliangaliwa tar. 2 Desemba 2018
- ↑ The 13 Deadliest Shipwrecks Ever Ilihifadhiwa 12 Juni 2018 kwenye Wayback Machine., tovuti ya gizmodo.com, iliangaliwa tar. 2 Desemba 2018
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |