Likaiu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Likaiu ni jina la volkeno mbili, East Likaiu na West Likaiu, zenye kimo cha mita 915 juu ya UB. Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Turkana.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]