Kusilimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kusilimu ni tendo la mtu kuingia dini ya Uislamu.

Kwa mtazamo wa dini hiyo ni tendo la utashi kuinamia mamlaka ya Mungu na kukubali kuitii maishani.

Kusilimisha ni kazi ya kufanya watu kusilimu; iliwahi kufanyika kwa njia tofauti, kama vile daawa na jihad.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.