Kristinehamn
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kristinehamn ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 17,836 (mwaka 2005). Iko kando ya Ziwa Vänern.
Jiografia [hariri]
Eneo lake ni 13.42 km².
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kristinehamn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |