Korosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Korosi ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 1,446 juu ya UB.

Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Baringo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]