Kivai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kivai

Kivai ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Sierra Leone inayozungumzwa na Wavai. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kivai nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 104,000. Pia kuna wasemaji 15,500 nchini Sierra Leone. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivai iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.