Kiukit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiukit ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Waukit. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiukit imehesabiwa kuwa watu 120 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukit iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.