Kitilung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitilung ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Watilung. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kitilung imehesabiwa kuwa watu 1420, na lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitilung iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitilung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.