Kithangmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kithangmi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal, Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Wathangmi. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kithangmi nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 23,200. Pia kuna wasemaji 300 nchini Uchina (2002) na wasemaji 500 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kithangmi iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithangmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.