Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Kiteto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiteto)
Mahali pa Kiteto (kijani) katika mkoa wa Manyara.

Wilaya ya Kiteto ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Manyara.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kiteto ilihesabiwa kuwa 152,757[1], wakati wa sensa ya 2002 walikuwa 244,669 [2] . Idadi imeongezeka tena katika sensa ya mwaka 2022 walipohesabiwa 352,305 [3].

Kiteto imepakana na wilaya ya Simanjiro upande wa kaskazini, upanda wa mashariki na mkoa wa Tanga na upande wa kusini na magharibi na mkoa wa Dodoma.

Makao makuu ya wilaya yako mjini Kibaya.

Wenyeji ni hasa Wamasai.

  1. "Tanzania.go.tz/census/districts/kiteto". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.
  2. Sensa ya 2012, Manyara Region – Kiteto District-Council
  3. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Kiteto - Mkoa wa Manyara - Tanzania

Bwawani | Bwagamoyo | Chapakazi | Dongo | Dosidosi | Engusero | Kaloleni | Kibaya | Kijungu | Laiseri | Lengatei | Loolera | Magungu | Makame | Matui | Namelock | Ndedo | Ndirgishi | Njoro | Olboloti | Partimbo | Songambele | Sunya


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kiteto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.