Kitegali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitegali ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Wategali. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kitegali imehesabiwa kuwa watu 35,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitegali iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitegali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.