Kisosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisosi

Kisosi ni chombo kidogo kinachowekewa kikombe cha chai au uji wa moto ili usikumwagikie. Pia hutumika kuweka mboga n.k.

Makala hii kuhusu "Kisosi" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.