Kisiwa cha Uvondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Uvondo ni kati ya visiwa vya funguvisiwa la Lamu, kaunti ya Lamu, nchini Kenya.

Kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]