Kisiwa cha Matumbi Makubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Matumbi Makubwa ni kati ya visiwa vya Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi karibu na Pemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]