Kisinyar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisinyar ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wasinyar. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisinyar nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 12,300. Pia kuna Wasinyar nchini Sudan lakini haijulikani kama wameendelea kuongea Kisinyar. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisinyar iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisinyar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.