Kiseru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiseru ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia iliyozungumzwa na Waseru. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiseru, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseru iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.