Kiseeku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiseeku (au Kisembla) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Waseeku. Idadi ya wasemaji wa Kiseeku imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseeku iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseeku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.