Kisadri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisadri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasadri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisadri nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 3,290,000. Pia kuna wasemaji 1180 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisadri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisadri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.