Kirade

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirade ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vietnam inayozungumzwa na Waede. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kirade imehesabiwa kuwa watu 177,000. Labda kuna wasemaji wachache nchini Kamboja. Kufuatana uainishaji kwa ndani zaidi, lugha wa Kirade iko katika kundi la Kichamiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirade kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.