Kipuoc

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipuoc (pia Kiksingmul) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wapuoc. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kipuoc nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 18,000. Pia kuna wasemaji 8570 nchini Laos (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipuoc iko katika kundi la Kikhmuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipuoc kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.