Kioring

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kioring ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waoring. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kioring imehesabiwa kuwa watu 75,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioring iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioring kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.