Kinabit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinabit (Nabt) au Nabdem (pia Nabde, Nabte, Nabdam, Nabdug, Nabrug, Nabnam, Namnam ) ni lugha ya Kigur nchini Burkina Faso na Ghana .

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinabit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.