Kimungaka
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimungaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamungaka. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimungaka imehesabiwa kuwa watu 50,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimungaka kiko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
[hariri] Viungo vya nje
- lugha ya Kimungaka kwenye Multitree
- ramani ya Kimungaka
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=mhk
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimungaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |