Kijaunsari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijaunsari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wajaunsari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kijaunsari imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijaunsari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijaunsari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.