Kiifugao-Batad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibatad (au Kiifugao-Batad) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabatad. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibatad imehesabiwa kuwa watu 43,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatad iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiifugao-Batad kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.