Kihelambu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisherpa ya Helambu (au Kihelambu kwa kifupi) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Washerpa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisherpa ya Helambu imehesabiwa kuwa watu 10,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisherpa ya Helambu iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihelambu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.