Kigogo
Hii ni makala ya lugha ya Kigogo. Kwa makala ya kata ya Kigogo katika wilaya ya Kinondoni, tafadhali fungua hapa.
Kigogo (pia huitwa Chigogo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wagogo. Lugha huandikwa na herufi za Alfabeti ya Kilatini.
Viungo vya nje [hariri]
- lugha ya Kigogo kwenye Multitree
- ramani ya Kigogo
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=gog
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
- http://www.isp.msu.edu/AfrLang/language.php?id=16 Kitabu cha Mtandao kuhusu Lugha za Kiafrika
Marejeo [hariri]
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Clark, G. J. 1877. Vocabulary of the Chigogo language. London: Society for Promoting Christian Knowledge (SPCK). Kurasa 58.
- Cordell, Oliver T. 1941. Gogo grammar, exercises, etc. Mpwapwa (Tanganyika). Kurasa 117.
- Preston, W. W. 1946. An outline dictionary of ChiGogo. Manuscript at the Diocese of Central Tanganyika at Dodoma. Kurasa 432.
- Rossel, Gerda. 1988. Een schets van de fonologie en morfologie van het Cigogo. Doctoraalscriptie. Rijksuniversiteit te Leiden.
Viambishi ni mofimu au viungo vyenye maana ambavyo hufungamanishwa na mzizi/shina la neno ili kulipa neno hilo maana mbalimbali za kisarufi kama vile nafsi, wakati, hali, urejeshi, n.k Viambishi awali ni vile vinavyotangulia mzizi wenyewe, yaani huwa kabla ya mzizi/shina. SHINA AU MZIZI: Hakuna tofauti kati ya shina na mzizi MZIZI/SHINA, Ni sehemu ya neno inayobeba maana yake kuu na huwa haibadiliki, Kwa mfano, tuangalie vitenzi vifuatavyo: a-na-LIM-a wa-li-LIM-i-a ni-ta-LIM-iw-a wa-na-vyo-LIM-a Ukiangalia kwa makini, utaona kuna sehemu ya kitenzi hiki ambayo haibadiliki katika mifano ya hapo juu. Sehemu hiyo ni (-LIM-). Na hii ndiyo shina au mzizi wa kitenzi LIMA. Mfano mwingine: a-li-ki-SOM-a hu-SOM-ew-a wa-li-SOM-e-an-a a-li-m-SOM-e-a i-li-SOM-w-a Tunaona hapa mzizi/shina la kitenzi SOMA, ni -som- Ili utambue shina/mzizi wa kitenzi unafaa kuwazia hali mbalimbali au kauli tofautitofauti za mnyambuliko wa kitenzi halafu ubainishe sehemu isiyobadilika.