Kigodwari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigodwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagodwari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kigodwari imehesabiwa kuwa watu milioni tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigodwari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigodwari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.