Kifataluku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kifataluku ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Wafataluku. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kifataluku imehesabiwa kuwa watu 37,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifataluku iko katika kundi la Kitimor.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifataluku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.