Kidhanki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidhanki ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadhanki. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidhanki imehesabiwa kuwa watu 139,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidhanki iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhanki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.