Kichiga (lugha)
Mandhari
Kichiga ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wachiga. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kichiga imehesabiwa kuwa watu 1,580,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichiga iko katika kundi la J10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kichiga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichiga Archived 10 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichiga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cgg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichiga (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |