Kicao-Miao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kicao-Miao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kicao-Miao imehesabiwa kuwa watu 63,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kicao-Miao iko katika kundi la Kikam-Sui.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicao-Miao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.