Kibaybayanon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibaybayanon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabaybayanon. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kibaybayanon imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaybayanon iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaybayanon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.