Kiashe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiashe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waashe. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kiashe imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiashe iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiashe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.