Karlstad
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karlstad ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1584. Kuna wakazi 58,544 (mwaka 2005). Kuna pia Chuo Kikuu cha Karlstad.
Jiografia [hariri]
Eneo lake ni 29.92 km².
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karlstad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |