Kamil Glik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kamil Glik, 2018

Kamil Jacek Glik (alizaliwa 3 Februari 1988) ni mchezaji wa soka wa Poland ambaye anacheza katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Poland.

Klabu alizochezea ni pamoja na Piast Gliwice (2008-2010), Palermo (2010-2011) na Torino F.C. (2011-2016) ambako alichaguliwa kuwa nahodha wa timu hiyo.

Alishiriki katika UEFA Euro mwaka 2016.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kamil Glik kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.