Kabelo Dlamini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kabelo Dlamini (alizaliwa 16 Mei 1996) ni mchezaji wa soka wa Afrika Kusini anayesakata mpira kama kiungo mshambuliaji au winga wa kulia kwa klabu ya Orlando Pirates katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini (South African Premier Division).[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kabelo Dlamini". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 12 July 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Kigezo:Soccerway
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabelo Dlamini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.