Jouli
Kutoka Wikipedia
Jouli ni kizio cha upimaji wa nishati, kazi na joto.
Fomula yake ni nyutoni moja zidisha kwa mita moja (1J = 1N × 1m)
Maelezo yake ni kazi inayofanywa kama kani ya nyutoni moja inatumiwa kwa umbali wa mita moja.
| Makala hiyo kuhusu "Jouli" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Jouli kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

